Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya Kwanza wamkashifu Rais mstaafu Uhuru Kenyatta

  • | KBC Video
    164 views
    Duration: 4:54
    Baadhi ya viongozi wa Kenya Kwanza wakiongozwa na Naibu Rais Kithure Kindiki wamemkashifu Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa matamshi yake kwamba serikali ya sasa imebatilisha baadhi ya mipango muhimu iliyoanzishwa wakati wa uongozi wake. Akiongea wakati wa mpango wa uwezeshaji katika eneo la kaskazini mashariki, Kindiki alimtaka Uhuru kuikosoa serikali ya sasa kwa kuzingatia ukweli. Abdiaziz Hashim anasimulia zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive