- 8,355 viewsDuration: 4:16Maelfu ya Wakenya walimiminika katika hifadhi na mbuga mbalimbali za wanyama pori zinazosimamiwa na shirika la Wanyamapori nchini ili kusherehekea siku ya utalii duniani. Serikali ilifutilia mbali ada za kuingia kwenye hifadhi na mbuga katika hatua iliyolenga kupiga jeki utalii wa humu nchini na kuwapa Wakenya nafasi ya kufurahia uzuri wa kipekee wa rasilimali asilia za Kenya. Mwanahabari wetu John Kahiro, alizungumza na watalii wa humu nchini katika mbuga ya kitifa ya Nairobi na kuuandalia taarifa hii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive