Skip to main content
Skip to main content

Waziri Rebbeca Miano amesisitiza umuhimu wa sekta ya utalii

  • | KBC Video
    47 views
    Duration: 2:23
    Waziri wa Utalii na Wanyamapori, Rebecca Miano, amesisitiza umuhimu wa sekta ya utalii kama kicheheo cha maendeleo ya kiuchumi. Miano alithibitisha kuwa sekta ya utalii ya humu nchini inakua kulingana na ongezeko la watalii wa kimataifa na wa humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive