Waandamanaji, mapambano katika mitaa ya Dakar baada ya uchaguzi wa rais kuahirishwa
Wabunge wa Senegal Jumatatu walijadili hali iliyokuwa haijawahi kutokea ya hatua ya kuahirisha uchaguzi wa rais uliokuwa ufanyike mwezi huu, ambao ulisababisha mapambano ghasia nje ya bunge na kuleta wasiwasi kimataifa.
Vikosi vya usalama vilitumia mabomu ya machozi kuvitawanya vikundi vidogo vya waandamanaji wa upande wa upinzani nje ya Bunge la Taifa. Waandamanaji walikuwa wakiimba “Macky Sall ni dikteta” wakikusudia rais wa nchi hiyo baada ya kutawanywa.
Mapambano ya mara kwa mara yalikuwa nadra kuonekana katika eneo ambalo kwa kawaida ni tulivu mjini Dakar, ambako polisi na vikosi vya usalama vikisaidiwa na magari makubwa yalipelekwa kulilinda bunge. - AFP
#senegal #mackysall #voaswahili
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- The MP has shown interest in running for governor of Nairobi.
13 Aug 2025
- President William Ruto on Wednesday assented to the County Allocation of Revenue Bill, 2025, and the County Public Finance Laws (Amendment) Bill, 2023.
13 Aug 2025
- The ruling follows a petition filed by four individuals, among them Nakuru-based surgeon Dr. Benjamin Gikenyi, challenging the legality of the committee appointed to audit pending NHIF claims.
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- "Tusiharibu game tumestruggle sana kuijenga.”
13 Aug 2025
- Senior officials from the British Army Training Unit Kenya (BATUK) failed to appear in Parliament on Tuesday to answer questions about the atrocities their soldiers have committed in the country.
13 Aug 2025
- African officials and experts have warned that the unpredictability of U.S. trade policy fuels uncertainty for the continent's development.
13 Aug 2025
- Staying in touch with friends and family accounts for 60.2% of usage.
13 Aug 2025
- For those with visual impairments, female ownership is slightly higher at 70.8% compared to males at 66.1%.
13 Aug 2025
- Widow says she warned her late husband against following suspected cult leader's teachings.