Shirika la Mwezi Mwekundu la Palestina: Watu wanane wajeruhiwa
Kanda ya video kutoka Shirika la Mwezi Mwekundu la Palestina iliyotolewa Jumanne ikiwaonyesha wafanyakazi wao wakiwasafirisha kile walichosema watu wanane waliojeruhiwa katika mashambulizi ya mabomu katikati ya Gaza.
Reuters haikuweza yenyewe kuthibitisha video hii. Msemaji wa Shirika la Mwezi Mwekundu la Palestina ameiambia Reuters picha za kanda hiyo zilipigwa Jumanne huko Deir Al-Balah.
Mashambulizi ya angani na ardhini yanayofanywa na Israel yalianza baada ya wanamgambo wa Hamas wanaotawala Gaza walipowauwa watu 1,200 na kuwateka wengine 253 huko kusini mwa Israel Oktoba 7.
Wizara ya Afya Gaza inasema Wapalestina wasiopungua 27,585 wamethibitishwa kuuwawa katika kampeni ya kijeshi ya Israel, huku maelfu zaidi wakihofiwa kuzikwa ndani ya kifusi. .
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #iran
13 Aug 2025
- The clarification follows an uproar from Kenyans.
13 Aug 2025
- The United States as intensified crackdown on individuals seeking student visas.
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- President William Ruto on Wednesday assented to the County Allocation of Revenue Bill, 2025, and the County Public Finance Laws (Amendment) Bill, 2023.
13 Aug 2025
- The ruling follows a petition filed by four individuals, among them Nakuru-based surgeon Dr. Benjamin Gikenyi, challenging the legality of the committee appointed to audit pending NHIF claims.
13 Aug 2025
- The clarification follows an uproar from Kenyans.
13 Aug 2025
- The United States as intensified crackdown on individuals seeking student visas.
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- "Tusiharibu game tumestruggle sana kuijenga.”
13 Aug 2025
- The PROMISES!
13 Aug 2025
- Senior officials from the British Army Training Unit Kenya (BATUK) failed to appear in Parliament on Tuesday to answer questions about the atrocities their soldiers have committed in the country.
13 Aug 2025
- African officials and experts have warned that the unpredictability of U.S. trade policy fuels uncertainty for the continent's development.