- 85 viewsWakati Kenya ikijiandaa kukaribisha wageni kutoka kote ulimwenguni katika awamu ya sita ya kikao cha Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira, washikadau wa mazingira wameangazia maswala muhimu yatakayo jadiliwa kwenye kikao hicho kitakachofanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira jijini Nairobi kuanzia Februari 26 hadi Machi mosi. Huyu hapa Juma Majanga na repoti hiyo kutoka Nairobi, Kenya. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
UN kujadili mustakabadhi wa mazingira katika mkutano wa Nairobi
- 13 Aug 2025 - President William Ruto on Wednesday assented to the County Allocation of Revenue Bill, 2025, and the County Public Finance Laws (Amendment) Bill, 2023.
- 13 Aug 2025 - The ruling follows a petition filed by four individuals, among them Nakuru-based surgeon Dr. Benjamin Gikenyi, challenging the legality of the committee appointed to audit pending NHIF claims.
- 13 Aug 2025 - The president had previously hosted thousands of youths at State House.
- 13 Aug 2025 - China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
- 13 Aug 2025 - "Tusiharibu game tumestruggle sana kuijenga.”
- 13 Aug 2025 - Senior officials from the British Army Training Unit Kenya (BATUK) failed to appear in Parliament on Tuesday to answer questions about the atrocities their soldiers have committed in the country.
- 13 Aug 2025 - African officials and experts have warned that the unpredictability of U.S. trade policy fuels uncertainty for the continent's development.
- 13 Aug 2025 - For those with visual impairments, female ownership is slightly higher at 70.8% compared to males at 66.1%.
- 13 Aug 2025 - Staying in touch with friends and family accounts for 60.2% of usage.
- 13 Aug 2025 - Widow says she warned her late husband against following suspected cult leader's teachings.