Aliyekuwa naibu inspekta mkuu wa polisi King'ori Mwangi aaga dunia

  • | KBC Video
    92 views

    Aliyekuwa naibu Inspekta mkuu wa Polisi King'ori Mwangi, ameaga dunia.

    Kwa mujibu wa familia yake, Mwangi aliaga dunia leo asubuhi alipokuwa akitibiwa katika hospitali ya jijini Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive