Korti yaongeza muda wa kusitisha malipo ya karo kwa e-citizen

  • | Citizen TV
    76 views

    Mahakama kuu imesitisha kwa muda zaidi agizo la serikali kuu kuwataka wazazi kuwalipia wana wao wanaosoma katika shule za upili za kitaifa karo kupitia mtandao wa e-citizen hadi tarehe 17 mwezi aprili wakati kesi hiyo itaskizwa.