Wafanyabiashara na wakazi walalamikia ukosefu wa umeme huko Samburu

  • | Citizen TV
    128 views

    Wafanyibiashara na wakazi wa mji mdogo wa Baragoi huko Samburu kaskazini wamelalamikia ukosefu wa nguvu za umeme, licha ya umeme inayozalishwa ziwa Turkana kupita hapo. Wakazi hao wamelazimika kutumia jenereta ili kuendelea na shughuli zao.