Kinara wa Azimio Raila Odinga ataka serikali kufanikisha mpango wa chakula shuleni

  • | Citizen TV
    365 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga ametaka serikali kuu na zile za kaunti kufanikisha mpango wa chakula kwa wanafunzi shuleni.