Wachezaji watano watuzwa zaidi ya Ksh.100, 000 katika mchezo wa Shabiki Supajackpot

  • | Citizen TV
    70 views

    Wachezaji watano wamejinyakulia zaidi ya shilingi laki moja katika mchezo wa Shabiki Supajackpot. Hii ni baada yao kubashiri mechi 12 kati ya 15 kwa usahihi.