Watahiniwa waliokosa kupata alama za kujiunga na vyuo vikuu wahinizwa kuzingatia kozi za kiufundi

  • | Citizen TV
    108 views

    Watahiniwa wa mtihani wa KCSE mwaka wa 2023 waliokosa kupata alama za kujiunga na vyuo vikuu wamehimizwa kuzingatia kozi za kiufundi za taasisi za TVET.