Wasichana washauriwa kufanya kozi za teknolojia Garissa

  • | Citizen TV
    104 views

    Wasichana katika kaunti ya Garissa wamehimizwa kusomea taaluma ya habari na teknolojia ili kushindana na kikamilifu na wenzao wa kiume katika ulimwengu wa teknolojia.