Serikali kujenga kiwanda cha kukoboa mpunga Taita Taveta

  • | Citizen TV
    252 views

    Wakulima wapatao 2000 wa mpunga kutoka vijiji vya Kitobo na Kimorigo, Taveta, kaunti ya Taita Taveta wamehimizwa kuongeza uzalishaji wa mpunga kutoka ekari 18,000 hadi ekari 30,000. Serikali inapania kujenga kiwanda cha kukoboa mpunga kwa Gharama ya shilingi milioni 45 katika eneo hilo.