Skip to main content
Skip to main content

Watu 20 wafariki kwenye ajali mbili tofauti katika barabara ya Nakuru-Nairobi Ajali

  • | Citizen TV
    14,570 views
    Duration: 2:42
    Watu ishirini wameaga dunia katika ajali mbili za barabarani eneo la Kikopey na gilgil katika kaunti ya Nakuru. Katika kisa cha hivi punde zaidi, watu kumi na wanne wamefariki baada ya matatu na lorry aina ya trela kugongana karibu na eneo la Kimende. Kwenye ajali ya mapema, watu sita waliokuwa wakisafirisha mgonjwa kwenye ambulensi pia wamefariki