- 7,614 viewsDuration: 2:42Watu ishirini wameaga dunia katika ajali mbili za barabarani eneo la Kikopey na gilgil katika kaunti ya Nakuru. Katika kisa cha hivi punde zaidi, watu kumi na wanne wamefariki baada ya matatu na lorry aina ya trela kugongana karibu na eneo la Kimende. Kwenye ajali ya mapema, watu sita waliokuwa wakisafirisha mgonjwa kwenye ambulensi pia wamefariki