Skip to main content
Skip to main content

Meli ya kubeba ndege ya kivita ya Ufaransa yaelekea Hormuz

  • | BBC Swahili
    15,822 views
    Duration: 1:10
    Ufaransa imechapisha video inayoonesha meli yake ya kubeba ndege ya kivita ikivuka mfereji wa Suez na kuelekea Mlango bahari wa Hormuz katika kile kinachoonekana kuwa ni misheni ya kusaidia kulinda njia hiyo ya maji. @frankmavura anaelezea #bbcswahili #hormuz #ufaransa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw