Rais Ruto ameendelea na ziara yake Murang'a na Nyeri

  • | Citizen TV
    1,752 views

    Rais William Ruto sasa anase kuwa kuchelewa kwa pesa za kaunti umesababishwa na msukumo wa madeni na mgao wa kufanikisha elimu nchini. Rais akiendelea kuelezea imani yake kuwa uchumi wa Kenya utaimarika. Rais aliyeendelea na ziara yake Mlima Kenya pia amewahakikishia wakaaazi kuwa miradi yote ya maendeleo iliyoanzishwa na serikali iliyopota itakamilishwa