Taasisi ya utafiti wa tiba KEMRI yazindua kitabu cha Sayansi

  • | Citizen TV
    106 views

    Taasisi ya utafiti wa tiba nchini (KEMRI) imezindua kitabu cha wanasayansi ili kuwapa motisha wanafunzi ambao wana ndoto ya kuwa wanasayansi siku zijazo.