Kitita cha Shabiki Supa Jackpot kimeongezeka hadi shilingi milioni sita

  • | Citizen TV
    56 views

    Kitita cha Shabiki Supa Jackpot kimeongezeka na kungonga shilingi milioni sita huku washindi watatu wa Bonasi Ya Supa Jackpot wakizawadiwa zaidi ya shilingi laki nne na nusu juma hili. Florence Nyambura ambaye alipata baraka ya mtoto mwezi jana akizawadiwa ushindi wake wa zaidi ya shilingi laki moja unusu nyumbani kwake Kinangop, kaunti ya Nyandarua.