Seneta Wafula aitaka serikali kuzungumza na wakazi wa Bungoma kukabili mzozo wa ubomoaji wa vibanda

  • | Citizen TV
    96 views

    Seneta wa Bungoma Wafula Wakoli ameitaka serikali ya kaunti ya Bungoma kufanya mazungumzo na wafanyibiashara ili kukabili mzozo uliopo wa ubomoaji wa vibanda vyao.