Polisi wanasa washukiwa wanne wakisafirisha pombe haramu mjini Kapsabet

  • | Citizen TV
    1,019 views

    Polisi mjini Kapsabet kaunti ya Nandi wamewaokoa watu wanne kutoka mikononi mwa umma uliotaka kuwapiga baada ya kupatikana wakisafirisha pombe isiyoruhusiwa.