Watabiri wa hali ya hewa wasema joto jingi limekuwa likishuhudiwa nchini litaendelea

  • | Citizen TV
    400 views

    Joto jingi limekuwa likishuhudiwa katika baadhi ya maeneo nchini huku wananchi wakihisi sio la kawaida. Haya yanajiri huku idara ya utabiri wa hali ya anga ikitabiri kuwa hali hii itaendelea hadi msimu wa mvua ya masika mwezi machi-aprili-mei itakapoanza.