- 24,069 viewsDuration: 1:08China imefungua rasmi daraja kubwa zaidi duniani kambalo limeweka rekodi ya daraja kubwa zaidi ulimwenguni lililojengwa katika eneo lenye mlima. Daraja la Grand Canyon la Huajiang lina urefu wa 625m (2,083ft) juu ya bonde katika mkoa wa Guizhou. Wenye mamlaka wanasema daraja hilo linapunguza muda wa safari kati ya pande mbili za bonde hilo kutoka saa mbili hadi dakika mbili. #bbcswahili #china #darajarefu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw