- 62 viewsUkosefu wa mtaji na ardhi bado ni changamoto kwa wanawake wanojihusisha na kilimo licha ya wao kuchangia kwa kiwango kikubwa katika uzalishaji wa chakula katika mataifa mengi barani afrika. Katika kongamano la kilimo lililoandaliwa Nairobi wiki hii wadau wametoa wito kwa serikali na asasi za kiraia kuongeza juhudi ili kufikia malengo ya maendeleo endelevu na pia kukabiliana na janga la njaa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wanawake Afrika wakabiliwa na changamoto za ukosefu wa mitaji na ardhi
- - Duniani Leo ››
- 16 Jul 2025 - A religious party has quit Israel's ruling coalition in a dispute over military service, leaving Prime Minister Benjamin Netanyahu with a razor-thin majority in parliament but still enough political support to secure a potential Gaza ceasefire.
- 16 Jul 2025 - Indonesian authorities have detained 12 suspects after uncovering an alleged baby trafficking ring that sent more than a dozen infants to Singapore, a police official told AFP on Tuesday.
- 16 Jul 2025 - U.S. President Donald Trump said he believed Britain would fight to defend the United States but suggested he could not say the same for the European Union, a factor in his decision not to sign a trade deal with the bloc.
- 16 Jul 2025 - The agency received 713,173 applications but could only fund 322,338 university students.
- 16 Jul 2025 - Cover-up claims as civil society details Saba Saba crackdown horror
- 16 Jul 2025 - Memories of National Youth Service and the new reality
- 16 Jul 2025 - HELB deficit locks out 160,000 from funding
- 16 Jul 2025 - Lawmakers and Members of County Assemblies are in the list.
- 16 Jul 2025 - President Ruto's lieutenants are executing silent but strategic campaign aimed at locking in support across key voting blocs.
- 16 Jul 2025 - MPs Oundo and Mandazi demand action against officers who authorised the disbursement.