Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China : Jinsi Wazee nchini China wanafurahia kutazama Ndege

  • | KBC Video
    73 views
    Duration: 3:41
    IFAHAMU CHINA Katika Makala ya Ifahamu China tunaangazia jinsi Wazee nchini China wanavyofurahia kutazama na kupiga picha ndege, hasa kasuku wanaoishi kwenye miti ya banian Mangba, Yunnan, huku mfumo wa ikolojia ukiboreka na kuimarisha utalii nchini China. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive