Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji samaki Kisumu wakadiria hasara ya zaidi ya shilingi milioni 10 kutokana na vifo vya samaki

  • | Citizen TV
    526 views
    Duration: 2:17
    Wafugaji samaki wa vizimbani kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara ya zaidi ya shilingi milioni kumi, kufuatia vifo vya ghafla vya samaki wao. Katika siku mbili zilizopita, vizimba kumi na mbili vimepoteza samaki wote kutokana na ukosefu wa hewa. idara ya afya kaunti ya Kisumu imeondolea mbali hofu ya usalama wa samaki wanaouzwa sokoni