Tume huru ya uchaguzi (IEBC) inadhamiria kutafuta rasilimali zaidi kufadhili shughuli ya usajili wa wapiga kura kote nchini, baada ya uchaguzi mdogo wa tarehe 27 mwezi Novemba mwaka huu. Mwenyekiti wa tume ya IEBC, Erastus Ethekon, aliyeongoza uzinduzi wa shughuli hiyo alisema kuwa tume hiyo inalenga kusajili takriban wapiga kura wapya milioni sita. Shughuli hiyo inafanyika katika maeneo bunge yote 290 nchini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive