Skip to main content
Skip to main content

Kindiki : Mfumo wa kielektroniki wa utoaji zabuni za serikali hautaondolewa

  • | KBC Video
    79 views
    Duration: 1:39
    Naibu Rais Kithure Kindiki amesisitiza kuwa mfumo wa kielektroniki wa utoaji zabuni utaendelea kutekelezwa licha ya changamoto zilizoripotiwa katika utekelezaji wake. Naibu Rais alikuwa akijibu malalamishi ya baraza la magavana, ambalo lilieleza kuwa mfumo huo mpya haujaweza kutekelezwa ipasavyo na sasa umekuwa kikwazo katika ununuzi wa bidhaa muhimu za serikali za kaunti, ikiwemo dawa na vifaa vya matubabu. Giverson Maina anatuletea taarifa hiyo kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive