Skip to main content
Skip to main content

Ada za viingilio kwenye mbuga za wanyama pori kuongezeka kuanzia Oktoba

  • | KBC Video
    97 views
    Duration: 2:15
    Ada za viingilio kwenye mbuga na hifadhi za wanyama pori humu nchini zitaongezeka kuanzia Oktoba mosi mwaka huu wakati Kanuni za uhifadhi na usimamizi wa wanyama pori zitakapoanza kutumika. Kanuni hizo ziliidhinishwa na bunge tarehe 25 mwezi huu. Taarifa zaidi ni kwenye Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive