Baba wa mtoto aliyeuawa na shambulizi la bomu aeleza kilio chake
Mtu na mkewe ambao wamepoteza mtoto baada ya bomu lililopigwa na waasi wa M23 kulipuka na kumuua, eneo la milima ya Sake. Jina la baba wa marehemu ni Muhindo Balume Prince akizungumza na mwandishi wa VOA.
Wiki iliyopita Meja Jenerali Peter Cirimwami ambaye pia ni Gavana wa jimbo la Kivu Kaskazini huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo siku ya Alhamisi ametembelea maeneo ambayo yanashambuliwa na waasi wa M23. Pia alifanya tathmini kwenye maeneo ya makazi ya raia yenye idadi kubwa ya watu.
Makazi hayo yako mjini karibu na mji wa Goma na eneo la Sake kiasi cha kilometa 25 magharibi mwa Goma.
Gavana Cirimwani alifuatana na Kamati ya Usalama ya jimbo la Kivu Kaskazini. Meja Jenerali Cirimwami baadaye alitembelea kambi mbalimbali za wakimbizi zilizopo maeneo ambapo yanaendelea kukumbwa na mapigano.
Ripoti hii maalum imeandaliwa na mwandishi wetu wa Goma Austere Malivika.
#goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili #milimayasake #austeremalivika
8 May 2024
- Murkomen noted that the initiative would yield a long-lasting solution to the destruction witnessed in recent weeks.
8 May 2024
- She called out President Ruto for offering Ksh10,000 to each family affected by floods
8 May 2024
- The high temperatures would be part of the post-flood crisis recovery.
8 May 2024
- A total of 19 people died in the last 24 hours due to the ongoing floods ravaging most parts of Kenya, bringing the official nationwide death toll to 257.
8 May 2024
- Four people have been arrested for shooting what the authorities are calling a malicious TikTok prank video in front of the Kilifi Police Station.
8 May 2024
- The long-standing doctors' strike has finally come to an end after the government and KMPDU on Wednesday evening signed a return-to-work formula.
8 May 2024
- The impeachment hearing of Agriculture CS Mithika Linturi on Wednesday turned into a tale of the bitter end of his relationship with his ex-wife, Aldai MP Marianne Kitany.
8 May 2024
- Murkomen noted that the initiative would yield a long-lasting solution to the destruction witnessed in recent weeks.
8 May 2024
- The murder trial against former Migori Governor Okoth Obado, Caspal Obiero and Michael Oyamo in the murder of Rongo University student Sharon Otieno continued on Wednesday as the 42nd witness was cross-examined.
8 May 2024
- She called out President Ruto for offering Ksh10,000 to each family affected by floods
8 May 2024
- The high temperatures would be part of the post-flood crisis recovery.
8 May 2024
- Despite the government struggling to meet revenue targets, it has indicated plans to reduce borrowing both locally and foreign market, which spells good news to Kenyans.
8 May 2024
- A total of 791 kilometres of paved roads will be undertaken in various parts of the country according to the Authority.