"Kila mama ana matumaini na mtoto wake akisoma"
Ndoto ya mtoto anayekabiliwa na maradhi adimu nchini Tanzania, Ally Kimara huenda sasa itatimia kupitia mpango maalumu unaomuwezesha kupata elimu yake akiwa nyumbani kutokana na hali yake kushindwa kufika katika maeneo ya shule rasmi.
Kuendelea na masomo yake Ally, ni kutokana na mpango wa serikali ulioanzishwa Mapema mwaka 2023 ili kuwawezesha watoto wenye mahitaji maalumu kuweza kupata fursa ya masomo.
Pamoja na hali yake hiyo anasema iwe jua iwe mvua ni lazima aje kuwa Daktari siku za usoni.
#bbcswahili #tanzania #afya
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
8 May 2024
- Questions still linger about what happens to the primary demand issued by doctors.
8 May 2024
- The passports were from Kenyans in the diaspora who had made the applications a month ago.
8 May 2024
- Murkomen noted that the initiative would yield a long-lasting solution to the destruction witnessed in recent weeks.
9 May 2024
- Reading Time: 2 minutes The government has reaffirmed its c*mmitment to protecting the e********d wildlife species including Mountain B**go antelopes from extinction. First Lady […]
9 May 2024
- He hired a pool of staff deemed as solely meant to satisfy his appetites.
9 May 2024
- I had no one to pick me after surgery other than my sister
9 May 2024
- We don’t want to have Parliament continue with its authoritarianism.
9 May 2024
- The move to stop water supply was taken as a cautionary measure and to mitigate against electrocution, following advice from the KPLC.
9 May 2024
- Say new guidelines replicate the very problem that was to be solved by doing way with vetting committees.
9 May 2024
- It is a response to the lack of a comprehensive framework focusing on soil restoration and maintenance.
9 May 2024
- The Oilers finished fourth with 88 points in last season's Sevens Circuit.
9 May 2024
- This will be her second appearance at the Olympics after wrapping up second behind Jepchirchir at the Tokyo 2020 Olympic Games
9 May 2024
- Working under Atmis, KDF is building the foundations of stability