- 13,264 viewsDuration: 2:03Kakakuona anashika nafasi ya kwanza katika orodha ya mamalia wanaosafirishwa kwa magendo duniani. Kwa nini wanyama hawa ambao hata hawashambulii binadamu wanawindwa sana? @mrs.tadicha anatueleza #bbcswahili #wanyama #kakakuona Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw