- 125 viewsMamlaka nchini Marekani zinasema wana imani kuwa wataweza kukabiliana na vitisho vyoyote vya usalama kuelekea uchaguzi wa rais mwezi Novemba. Huko Alexandria, Virginia, Mwandishi wa VOA, Veronica Balderas Iglesias alihudhuria mafunzo ya maafisa wa uchaguzi, moja ya hatua kadhaa za kuhakikisha upigaji kura huru, wa haki na wazi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Maafisa wa Uchaguzi Marekani watoa kipaumbele cha usalama kabla ya uchaguzi wa rais Novemba
- 12 Aug 2025 - The Kenya National Highways Authority (KeNHA) has revoked a Privately Initiated Proposal (PIP) to construct the Nairobi-Mombasa (Usahihi) expressway.
- 12 Aug 2025 - The agreement was reached during the 7th Session of the Kenya–Iran Joint Commission for Cooperation (JCC) held in Nairobi, co-chaired by Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi and Iran’s Minister of Agricultural Jihad, Dr. Gholamreza Nouri Ghezalcheh.
- 12 Aug 2025 - The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has recovered public land in Kakamega valued at Ksh.20 million belonging to the Ministry of Housing.
- 12 Aug 2025 - Senior Principal Magistrate Dolphina Alego dismissed the request, ruling that Khatwani had failed to present sufficient justification for the release of his travel document, which is currently held in court as part of his bail conditions in a Sh356…
- 12 Aug 2025 - Dagoretti North MP Beatrice Elachi has called for more stringent and unpredictable checks on public servants’ wealth declarations, saying the current system is easily circumvented and ineffective in fighting corruption.
- 12 Aug 2025 - The Kenyan is expected in Nairobi on Sunday.
- 12 Aug 2025 - Man's lifeless body discovered in a police cell within hours of his arrest.
- 12 Aug 2025 - The bank will be created before the year ends.
- 12 Aug 2025 - The drivers were told to suspend their trip until further notice.
- 12 Aug 2025 - The High Court on Tuesday dismissed a petition challenging the appointment of PSC Vice Chairperson Mary Kimonye and commissioners Boya Molu, Irene Asienga, and Francis Meja.