30 Sep 2025 10:19 am | Citizen TV 2,264 views Duration: 1:53 Polisi mjini Voi kaunti ya Taita Taveta wanamzuilia mwanamume mmoja na anatarajiwa kufikishwa mahakamani hivi leo baada ya kupatikana akitengeneza pombe haramu na kuuza bila taratibu za kisheria.