Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Jaramogi Oginga Odinga, kwa ushirikiano na Hospitali ya Nairobi West na wadau wengine, wameongoza kampeni ya uhamasishaji na uchunguzi wa ugonjwa wa selimundu jijini Kisumu, kama sehemu ya kampeni ya kitaifa ya mwezi mzima kuhusu ugonjwa huo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive