- 18 viewsDuration: 1:36Wadau wa mazingira wanawahimiza vijana katika eneo laMpeketoni, kaunti ya Lamu kushiriki kikamilifu katika shughuli za kuhifadhi mazingira. Wanasema ushiriki wa vijana katika juhudi hizo ni nguzo muhimu ya kuhakikisha uendelevu na ustawi wa jamii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive