Skip to main content
Skip to main content

Walimu wa sekondari msingi Maralal walalamikia mazingira duni ya kikazi

  • | KBC Video
    94 views
    Duration: 2:06
    Walimu wa sekondari msingi katika kaunti ya Marsabit wanalalamikia mazingira duni ya kikazi ambayo wanasema inawazuia kuhudumu ipasavyo, hali wanayosema inazima ndoto za wanafunzi wengi wa eneo kame la Kaskazini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive