Takribani watu elfu moja na mia tano wanatarajiwa kunufaika na mpango wa afya ya jamii katika kijiji cha Mbungoni, eneobunge la Nyali, Kaunti ya Mombasa. Jimbo kuu la Mombasa la kanisa Katoliki kwa ushirikiano na taasisi ya mabadiliko ya kiafya na kiuchumi barani Afrika wameandaa kambi ya matibabu ya siku moja kama sehemu ya kampeni ya miezi mitatu ya kuelimisha na kuzuia virusi vinavyosababisha saratani ya kizazi HPV katika ukanda wa Pwani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive