Mbunge wa Ndia George Kariuki kwa mara nyingine amemsuta aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, akimlaumu kwa kujiita kiongozi wa eneo la Mlima Kenya. Kariuki ambaye ni mwandani wa rais William Ruto, alipuuza wito wa Gachagua wa hivi majuzi kwa viongozi wa eneo la katikati ya nchi kumuunga mkono akisema eneo hilo litasimama na viongozi wanaozingatia maendeleo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive