- 350 views[[Ni mtoto wa wazazi kutoka Zimbabwe na Nigeria na hivi leo anahudumu kama mtunukiwa wa cheo cha Naibu Jenerali msimamizi katika kituo cha Mafunzo ya Ukadeti huko Fort Knox, Kentucky. Mwandishi wa VOA Grace Oyenubi akizungumza na Brigedia Jenerali Amanda Azubuike, kiongozi wa kijeshi.]] ... "Jina langu ni Amanda Azubuike. Mimi ni naibu kamanda jenerali wa Mafunzo ya Ukadeti. Wakati wa kipindi cha joto, nina hudumu katika kituo cha mafunzo ya Ukadeti. Vizuri, kwanza kabisa, sikuwahi kufikiria nitakuwa hapa. Ninaulizwa kila mara juu ya kufikia wadhifa wa Jenerali. Sikuwa nimefikiria. Kwa hiyo siku nilipopokea nyota yangu. Nilihisi nimepewa heshima kubwa. Natambua umuhimu wa wakati huu, natambua majukumu, matarajio na pia tathmini inayokuja na cheo hiki. Na pia natambua mamlaka ya uwakilishi na umuhimu wa mchanganyiko ulioko katika timu hizi. Ilikuwa ni furaha yenye uchungu kwangu kwa sababu wazazi wangu wote ni marehemu." Kwa hiyo mara moja unafikiria kuhusu watu wote waliokusaidia kufika hapo, na kusema kwa jumla katika lililo juu ya orodha hiyo ni familia. #VOASwahili #naibujenerali #mmarekani #jeshi #chuochamafunzo #ukadeti #voa #amandaazubuike Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
'Ninaulizwa kila mara juu ya kufikia wadhifa wa Jenerali, sikuwa nimefikiria'
- 12 Aug 2025 - The Kenya National Highways Authority (KeNHA) has revoked a Privately Initiated Proposal (PIP) to construct the Nairobi-Mombasa (Usahihi) expressway.
- 12 Aug 2025 - The agreement was reached during the 7th Session of the Kenya–Iran Joint Commission for Cooperation (JCC) held in Nairobi, co-chaired by Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi and Iran’s Minister of Agricultural Jihad, Dr. Gholamreza Nouri Ghezalcheh.
- 12 Aug 2025 - The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has recovered public land in Kakamega valued at Ksh.20 million belonging to the Ministry of Housing.
- 12 Aug 2025 - Senior Principal Magistrate Dolphina Alego dismissed the request, ruling that Khatwani had failed to present sufficient justification for the release of his travel document, which is currently held in court as part of his bail conditions in a Sh356…
- 12 Aug 2025 - Dagoretti North MP Beatrice Elachi has called for more stringent and unpredictable checks on public servants’ wealth declarations, saying the current system is easily circumvented and ineffective in fighting corruption.
- 12 Aug 2025 - The Kenyan is expected in Nairobi on Sunday.
- 12 Aug 2025 - Man's lifeless body discovered in a police cell within hours of his arrest.
- 12 Aug 2025 - The bank will be created before the year ends.
- 12 Aug 2025 - The drivers were told to suspend their trip until further notice.
- 12 Aug 2025 - The High Court on Tuesday dismissed a petition challenging the appointment of PSC Vice Chairperson Mary Kimonye and commissioners Boya Molu, Irene Asienga, and Francis Meja.