Ifahamu China: Gridi ya umeme

  • | KBC Video
    27 views

    Shughuli ya kujenga Gridi ya umeme mkoani Hainan Kusini mwa China inaendelea jinsi ilivyopangwa. Gridi hiyo ya kidijitali inatarajiwa kuongeza uzalishaji umeme mkoani humo kwa kilowati 500 kando na kuwa Gridi ya kwanza ya kitaifa ya kuzalisha umeme kwa mfumo wa kidijtali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive