Tazama BBC Swahili ilivyoadhimisha miaka 65 ya utangazaji Zanzibar

  • | BBC Swahili
    281 views
    Idhaa ya Kiswahili ya BBC imekuwa na inaendelea kuwa kiungo muhimu katika jamii ya watu wanaozungumza Kiswahili katika eneo la Afrika Mashariki , Maziwa Makuu na duniani. Kwa mantiki hii katika kipindi chote tumejitahidi kwenda na wakati ili kuhakikisha wasikilizaji wetu na mashabiki wanahudumiwa vilivyo. Tazama ufunguzi wa hafla rasmi ya BBC Swahili ikiadhimisha miaka 65 ya utangazaji Zanzibar . . . #BBCSwahili65 #zanzibar #BBCSwahiliikiadhimishamiaka65