- 127 viewsDuration: 3:25Rais William Ruto ametetea mafanikio ya serikali yake akisema kwamba Wakenya wanaweza kushuhudia mafanikio hayo. Akizungumza katika Chuo Kikuu cha Umma katika Kaunti ya Kajiado, alisema kuwa wamebadilisha mpango wa "Linda Mama" kuwa "Linda Jamii" ili kuwahudumia Wakenya wengi zaidi na kufanikisha lengo la huduma ya afya kwa wote. Pia aliwahimiza viongozi na Wakenya kwa jumla kumtambua na kumheshimu Rais Mstaafu Kenyatta kwa mafanikio aliyopata alipokuwa madarakani chini ya serikali ya Jubilee. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive