- 356 viewsDuration: 2:12Shughuli ya usajili wa makurutu elfu-10 wa polisi inayopangiwa kuanza siku ya Ijumaa kote nchini itaendelea jinsi ilivyopangwa awali. Hii ni baada ya rufaa mbili zilizowasilishwa kwenye mahakama kuu ya Milimani kutafuta kusitisha shughuli hiyo kuondolewa leo. Na jinsi mwanahabari wetu Ruth Wamboi anavyotuarifu walalamishi walibaini kuwa kusitishwa kwa shughuli hiyo kutakiuka maslahi ya wakenya ikizingatiwa idadi ndogo ya maafisa wa polisi humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive