- 68 viewsDuration: 3:12Shirika la ustawi wa majani cha nchini limesema kuwa kiwango cha chini cha malipo ya bonasi mwaka huu kimetokana na hali katika masoko ya kimataifa na hali ya kubadilishana fedha. Shirika hilo limesema kuwa kuimarika kwa shilingi ya Kenya dhidi ya dola ya marekani na gharama ya juu ya utekelezaji shughuli zimesababisha mapato yanayotokana na majani chai kwa baina ya asilimia 15 na 25. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa habari zetu za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive