Skip to main content
Skip to main content

Aina 10 za nyoka hatari zaidi duniani

  • | BBC Swahili
    13,258 views
    Duration: 2:10
    Kwa mwaka duniani kote kuna vifo 138,000 kutokana na kuumwa na nyoka. Nchini India kila mwaka zaidi ya vifo elfu 60 hutokea kutokana na kuumwa na nyoka. Kila mwaka kuna visa laki 5 vya kuumwa na nyoka kote ulimwenguni. Katika matukio laki 4, sehemu fulani ya mwili inapaswa kukatwa au kuna ulemavu wa kudumu. Takwimu hizi zote zinatisha. Si wao? Na sababu ya yote haya ni jambo moja, ni nyoka. @frankmavura anatueleza aina10 za nyoka wenye sumu na hatari zaidi duniani - - #bbcswahili #nyoka #india #vifo