Dawa kuharibika huko Tana River kwa sababu ya kukosa nguvu za umeme kwa siku zaidi ya kumi

  • | Citizen TV
    67 views

    Wafanyabiashara kutoka eneo la Bangale, kaunti ya Tana River wanakadiria hasara ya maelfu ya pesa baada ya kukosa nguvu za umeme kwa zaidi ya siku kumi sasa. Dawa zinazohifadhiwa ndani ya majokofu katika zahanati ya eneo hilo huenda zikaharibika hivi karibuni.