Serikali ya Migori yaanza kuwasilisha maji safi vijijini

  • | Citizen TV
    89 views

    Serikali ya kaunti ya Migori imeanzisha mpango wa kuwasilisha maji ndani ya eneo la mita 500 kutoka kila boma katika maeneo ya vijijini katika kaunti hiyo ili kukabiliana na uhaba wa maji.