Rais William Ruto amesema serikali imejitolea kutekeleza mageuzi makubwa ili kubadilisha sekta ya kilimo na kupunguza gharama ya maisha. Rais Ruto amesema kwamba tayari, hatua za kilimo zimesaidia kuongeza uzalishaji, huku zikipunguza gharama ya bidhaa muhimu kama vile mahindi, maharagwe na ngano. Ruto alikuwa akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa maonesho ya kibiashara ya kimataifa ya Nairobi ya mwaka huu kwenye uwanja wa Jamhuri.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive